ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 11, 2019

MICHUANO MIKUBWA YA VOLLEYBALL KUANZA KUSHIKA KASI JUMATANO HII MWANZA


Jumatano ya Tarehe 12 mwezi juni 2019 ni uzinduzi wa Michuano mikubwa ya Volleyball kwa timu mbalimbali ambazo tayari zimetua jijini Mwanza.

Michuano kufanyika wapi?
Itashirikisha timu gani?
Nani mgeni rasmi kwa michuano hiyo?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.