ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 15, 2019

MAKAMPUNI YAUNGANA KUFANYA USAFI UFUKWE WA COCO JIJINI DAR

Baadhi ya wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali ya jijini Dar es Salaam wakishangilia kwa kutiana hamasa mara baada ya kufanya usafi katika ufukwe wa Coco Beach ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa usafi Baharini na kuunga mkono Kampeni ya Serikali ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki iliyofanyika leo Coco Beach jijini Dar esSalaam. Makampuni yaliyojitokeza kufanya usafini Pepsi, RedBull, Slipway Hoteli, G1 Security Limited, AfyaPal (Muhimbili), Verge of Africa na Nipe Fagio.
Baadhi ya wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali ya jijini Dar es Salaam wakifanya usafi katika ufukwe wa Coco Beach ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa usafi Baharini na kuunga mkono Kampeni ya Serikali ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki iliyofanyika leo Coco Beach jijini Dar esSalaam. Makampuni yaliyojitokeza kufanya usafini Pepsi, RedBull, Slipway Hoteli, G1 Security Limited, AfyaPal (Muhimbili), Verge of Africa na Nipe Fagio. 

Baadhi ya wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali ya jijini Dar es Salaam wakiwa na mifuko ya uchafu mara baada ya kufanya usafi katika ufukwe wa Coco Beach ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa usafi Baharini na kuunga mkono Kampeni ya Serikali ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki iliyofanyika leo Coco Beach jijini Dar esSalaam. Makampuni yaliyo jitokeza kufanya usafini Pepsi, RedBull, Slipway Hoteli, G1 Security Limited, AfyaPal (Muhimbili), Verge of Africa na Nipe Fagio.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.