Jumla ya viwanja 40 vilivyopimwa vinauzwa jirani na eneo la mzani lililopo Kata ya Nala jijini Dodoma. Ukubwa wa viwanja ni kuanzia Square Meter 574 hadi Square Meter 800 ambapo bei ni kuanzia shilingi milioni tatu za kitanzania.
Unaweza kulipia kiwanja kwa awamu sita ambapo awamu ya kwanza utalipia asilimia 50 ya bei ya kiwanja na baada ya hapo utakuwa ukilipa marejesho yaliyobaki kwa awamu tano ili kukamilisha malipo ya kiwanja chako.
Changamkia fursa hii kwa kuwasiliana na Dkt. Danford Muyango (PhD) kwa kupiga simu nambari 0752 37 38 99 ili nawe umiliki kiwanja Makao Makuu ya Nchi Dodoma.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.