Eyoo... Chungulia kichupa kina maelezo yote.
Mwanamuziki Mkongo anayeishi nchini Kenya wakuitwa Alicious (katikati) akibadilishana mawazo na Meneja wa Burudani na Matukio, Ramadhani Maganga wa Villa Park Resort ya jijini Mwanza mahala ambapo inakwenda kushushwa burudani ya kutakata katika sikukuu ya Pasaka Tarehe 21 April 2019. Kulia ni mwanahabari toka Jembe Fm Mwanza Albert G. Sengo ambaye pia ni CEO wa Gsengo blog.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.