Tumethubutu na tumeweza, kituo hiki cha afya cha Manyire kata ya Mlangarini Halmshauri ya Arusha wilaya ya Arumeru kilichojengwa kwa thamani ya Shilingi Milioni 478 kinatupa nguvu ya kuendelea kutoa huduma bora za afya , na sasa tunasogeza huduma bora za afya kwa wananchi wetu wa Arumeru.
Asante sana Serikali ya Tanzania na wananchi wazalendo ambao wametoa zaidi ya milioni 200 na wadau wetu wa Japan ambapo wametoa milioni 191, pamoja na wadau wengine wa maendeleo .
Tazama picha na video za matukio.
#ArumeruYetu
#WakatiWetu
#AfyaYetu
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.