ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, April 10, 2019

RIPOTI YA CAG YATAJA MASHIRIKA YENYE HALI MBAYA.

Prof Mussa Assad amesema ripoti yake imebaini kuwepo kwa mashirika ya umma 14 yenye hali mbaya kifedha pamoja na kupata hasara hadi kusababisha madeni kuwa zaidi ya mitaji yao kwa zaidi ya asilimia 100 ambapo katika ya haya mashirika 11 yana ukwasi hasi hasa kwa sababu yanajiendesha kwa hasara kwa miaka 2 sasa.

Mashirika hayo ni pamoja na shitika la Ndege la Taifa ATCL, shirika la maendeleo ya petrol TPDC na Shirika la mawasiliano Tanzania TTCL-PESA

Kutokana na hilo amependekeza hatua stahiki za kisheria na kinidhamu zichukuliwe dhidi ya maofisa waliohusika katika ubadhilifu wa mali za umma na mamlaka husika zihakikishe mianya yote iliyobainishwa wakati wa ukaguzi inayopelekea upotevu wa mali inazibwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.