ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 19, 2019

NONDO 6 ZA WAZIRI MKUU KWA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa serikali kuwawezesha Maafisa Habari kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa wakati.

Waziri Mkuu amebainisha hayo jana wakati wa Kikao Kazi Cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kilichofanyika mkoani Mwanza ambapo amewataka maafisa hao kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo.

Pia Waziri Mkuu ameonya kwa kusema kuwa "Maafisa Habari ambao hawatekelezi majukumu yao hao ni mizigo, wachukuliwe hatua kwa mujibu wa Sheria. Naiagiza Wizara ya Habari kufanya tathmini za mara kwa mara kwa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini ili kubaini mapungufu na madhaifu yaliyopo".












Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.