ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 27, 2019

MMOJA AFA KWA KUANGUKIWA NA MAWE MWANZA - RC MONGELLA ASIMULIA


Wananchi wameaswa kufuata taratibu madhubuti za kisheria katika ujenzi wa makazi sanjari na kufanya shughuli zao za maendeleo maeneo salama.

 Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya tukio la mwananchi mmoja kufariki dunia baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo na mawe wakati akichimba mchanga katika eneo la Tambuka Reli kwenye vilima vya kata ya Butimba mtaa wa Mahina wilayani Nyamagana mkoani hapa.

Jamaa huyo aliyefariki dunia amejulikana kwa jina la Ndalahwa Mashauri

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.