ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 19, 2018

SAUTI - OLE SENDEKA APIGA MARUFUKU MANYANYASO DHIDI YA WAMACHINGA NJOMBE

NJOMBE

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka Amepiga Marufuku Kuwanyanyasa Wajasiliamali Wadogo Pindi Wanapojitafutia Riziki na Badala Yake Wawaunge Mkono Kwa Kurasimisha Biashara Zao.

Ole Sendeka Ameitaka Halmashauri ya Mji wa Njombe Kuwasaidia Wafanyabiashara Hao Ambao Wamekuwa Wakinyanyaswa Mara Kwa Mara na Hivyo Kutaka Warasimishwe Kama Ambavyo Rais Magufuli Aliagiza.

TAARIFA ZAIDI AMIRI KILAGALILA TOKA NJOMBE

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.