Mhandisi kutoka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co. Ltd., Zhang Jiawa (kuwshoto) akifafafnua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza wakati Naibu Waziri alipotembelea uwanja wa Taifa kukagua maandalizi ya maboresho ya uwanja huo kuelekea mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 mwakani yatakayofanyika nchini, katikati ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Susan Mlawi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Susan Mlawi akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) wakati Naibu Waziri alipotembelea uwanja wa Taifa kukagua maandalizi ya maboresho ya uwanja huo kuelekea mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019, kushoto ni Mhandisi kutoka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co. Ltd., Zhang Jiawa .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Susan Mlawi (kushoto) akimsikiliza Mhandisi kutoka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co. Ltd., Zhang Jiawa ambao ndio wakandarasi wanaoboresha uwanja wa Taifa kwa ajili ya mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019.
Kaimu Meneja wa Uwanja wa Taifa Nsajigwa Gordon (kushoto) akifafanua jambo kwa Mhandisi kutoka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co. Ltd., Zhang Jiawa (kulia) ambao ndio wakandarasi wanaoboresha uwanja wa Taifa kwa ajili ya mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019, katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Susan Mlawi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Susan Mlawi (kushoto) akisoma nyaraka za maboresho ya uwanja wa Taifa kwa ajili ya mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019, kulia ni Mhandisi kutoka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co. Ltd., Zhang Jiawa ambao ndio wakandarasi wanaoboresha uwanja huo.
Mhandisi wa Wizara wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Yusufu Khalifan akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyi Bi. Susan Mlawi wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea kukagua maendeleo ya maboresho ya uwanja wa Taifa kwa ajili ya mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Susan Mlawi (wa pili toka kulia) akikagua mija ya chumba cha kubadilishia ngua wachezaji wakati wa mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019, kulia ni Kaimu Meneja wa Uwanja huo, Nsajigwa Gordon, kushoto ni : Mhandisi wa Wizara wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Yusufu Khalifan na wa pili toka kushoto ni Mhandisi kutoka Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group. Co. Ltd., Zhang Jiawa ambao ndio wakandarasi wanaoboresha uwanja huo.
Baadhi ya wataalamu wakiendelea na kazi za kuboresha uwanja wa Taifa kwa ajili ya mashindano ya AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019 AFCON chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini mapema mwakani 2019.

Picha na Kitengo cha Mawasiliano WHUSM –Dar es Salaam.

Uwanja Mkuu wa Taifa utakaotumika katika mashindano
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.