Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga Leo tarehe 28 Novemba 2018 amezuru Mkoani Mtwara kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Katika ziara hiyo Hasunga atafatilia mwenendo wa ununuzi wa Korosho za wakulima katika kuhakikisha maelekezo ya serikali yanatekelezwa.
Mara baada ya kuwasili Mkoani humo, Hasunga amekutana na wataalamu mbalimbali wanaoshughulikia Opareshini ya ununuzi wa Korosho katika Mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma na
kufanya kikao kizito kilichofanyika katika Ukumbi wa Bodi ya Korosho (CBT) kujadili mwenendo wa ununuzi wa zao hilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.