ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 8, 2018

'VIJANA GROUP ARUSHA' WAWASILISHA RIPOTI YA ZIARA YAO WALIYOIFANYA MIKOA YA MWANZA NA MARA



GSENGOtV

AKIWASILISHA ripoti hiyo kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Clemence Mkondya, kwa niaba ya vijana wenzake,  Mwenyekiti wa VIJANA GROUP  kutoka mkoani Arusha, Timotheo Kasmiri amesema kuwa katika ziara yao waliyoifanya hivi karibuni ikianzia Wilayani Serengeti mkoani Mara mnamo Tarehe 29/09/2018 na kumalizikia mkoani hapa imebaini kundi kubwa la vijana kuonesha kufurahishwa na kasi ya ukuzaji uchumi na kusaka maendeleo kupitia Serikali ya Awamu ya Tano, Chini ya Dr. john Pombe Joseph Magufuli.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.