Mamlaka inafanya mazungumzo na wafungwa waliojihami kwa bunduki na visu huku wakishikilia eneo la gereza mjini Juba wakishinikiza kuachiwa huru kwa wafungwa wa kisiasa
-
Wanashinikiza hivyo kama sehemu ya utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Rais Salva Kiir ambayo mpaka sasa haijafanyiwa kazi
-
Wafungwa walifanikiwa kuteka sehemu ya gereza hilo baada ya kuchukua bunduki na visu kutoka ndani ya ghala la kuhifadhia silaha
-
Hata hivyo Msemaji wa Polisi amekanusha madai hayo na kuongeza kulikuwa na wafungwa 400 katika gereza huku wafungwa wapatao 60 ndiyo walioanzisha vurugu na mgomo
-
Mara kadhaa wafungwa nchini humo wamekuwa wakilalamikia hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa madai kuwa wanashikiliwa kinyume cha sheria
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.