ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 22, 2018

WAZIRI JAFO ALIVYO WASHA MOTO KIKAO NA WATENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEMELA MWANZA MPAKA KIKAELEWEKA.



GSENGOtV

"Agenda yetu kubwa ni ukusanyaji wa mapato. Ndiyo maana mwaka huu nimeanzisha utaratibu tofauti, mara nyingi Taifa huwa linasimama siku ya kusikiliza matokeo ya darasa la 7, Matokeoya kidato cha Nne na cha Sita"

"Sasa nimeanzisha utaratibu mpya wa kusikiliza matokeo ya ukusanyaji wa mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa"

"Yupi ni mshindi zaidi na yupi ni mzembe"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.