Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde akimshukuru Raisi wa Foundation for Civil Society, Dr Tenga wakati alipotembele banda la Legal Services Facility (LSF) wakati wa ufunguzi wa wiki ya Azaki Tanzania. akishuhudia, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya Azaki ya kiraia akisalimiana na moja ya watoa huduma za msaada wa kisheria (paralegal) wa mkoa wa Dodoma bwana Aggrey Masaga Wakati alipotembelea banda la maondesho kuona kazi mbalimbali zinazofanywa na watoa huduma wa msaada wa kisheria chini ya ufadhili wa LSF. Akishuhudia ni Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.