Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam, mapema leo tarehe 04/10/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya utendaji kazi wa Jeshi hilo kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018.
Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, akifuatilia kwa karibu maelezo aliyokuwa akiyatoa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF Thobias Andengenye, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam, mapema leo tarehe 04/10/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye akisalimiana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018.
Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage akisalimiana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 04/10/2018.
Picha ya Pamoja, Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (wa kwanza kushoto)
akiwa na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, pamoja na Kamishna wa
Operesheni (CF) Billy Mwakatage (wa kwanza Kulia), mara baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe
04/10/2018. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO NA ELIMU KWA UMMA - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.