ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, September 14, 2018

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha zote na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.

Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa 
Bondia Frank John kushoto akitunishiana misuli na Bakari Mbede wakati wa kupima uzito kwa mabondia hawo watazipiga siku ya jumamosi  Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa .
Mabondia Imani Mapambano kushoto akitambiana na Paul Kamata baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.

Mabondia Saidi Zungu  kushoto akitambiana na Tonny Rashidi baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Saidi Zungu kushoto na Tonny Rashidi baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa 

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Fred Sayunu kushoto na Haidary Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa. 
Mabondia Frdy Sayuni  kushoto akitambiana na Haidary Mchanjo baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.

PROMOTA WA MPAMBANO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.