ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 25, 2018

JUMUIYA YA SHIA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA FEDHA KWA WAHANGA UKARA.



NA PETER FABIAN/GSENGOtV
UKARA

JUMUIYA ya Shia ya jijini Mwanza yatoa msaada wa chakula wenye thamani ya Sh milioni 7.5 na fedha tasilimu Sh milioni 7

Msaada huo umekabidhiwa na mwakilishi wa Jumuiya hiyo ndugu Mohamed Molidina kwa kamati ya serikali ikiongozwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe kwenye eneo la tukio Bwisya Kisiwani Ukara Ukerewe jana.




Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.