ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 6, 2018

VIDEO MISS LAKE ZONE NA SHTUKO LA ZAWADI YAKE TATA MTANDAONI NI BALAA BUNIA.



GSENGOtV

Shindano ya kumsaka mrembo wa Miss Lake Zone 2018, limefanyika usiku wa August 4,2018 Rock City Mall, ambapo mrembo Sharoon Headlam amekuwa mshindi ambaye ataiwakilisha Mwanza kwenye Mashindano ya Miss Tanzania 2018. 

Kitu ambacho akikutegemewa ni Sharoon kuchagua gari ambalo lilisemwa sana Mitandaoni hadi waandaaji wa Miss Tanzania wakasema libadilishwe na likawekwa lingine lakini hakulichagua hilo jipya ila alichagua lile la awali.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.