ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 16, 2018

URITHI FESTIVAL YAJA.

🕎.....WIZARA YA MALIASILI NA UTALII IMETENGA MWEZI WA SEPTEMBER, KUWA MWEZI MAALUM WA KUSHEREKEA URITHI WA UTAMADUNI NA TUNU ZAKE.
-------------------------------------------------------------------
TUNAYO FURAHA KUSHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO HAYA KWA KUANDAA  TAMASHA KUBWA MAALUMU LA URITHI FESTIVAL, KWA KANDA YA ZIWA (LAKE ZONE)
-------------------------------------------------------------------
TAREHE: 17-23 SEPTERMBER 2018.
-------------------------------------------------------------------
VIWANJA: (TUTAWAELEZA).
WASHIRIKI NI VIKUNDI VYA SANAA, NGOMA,  KWAYA,  NGONJERA,  BENDI,  MADENSAz,  WABUNIFU WA MAVAZI,  CHAKULA ASILI NK.....
-------------------------------------------------------------------
WADHAMINI MILANGO IKO WAZI
-------------------------------------------------------------------
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KATIKA NAMBA : +255786385475 AU TUANDIKIE  urithifestival@jembenijembe.com
------------------------------------------------------------------- 
CC:-
 @jembefm 
@urithifestivaltanzania
 @gijegije 
@hamisi_kigwangalla @wizarayamaliasilinautalii 
@jembenijembe
@gsengoTv
@harith_jaha 
@mansourjumanne
@deejaykflip
@nattyebrandy
@gsengo
@mwakad25 
@jonesdgd
 @chrissthedj
@okeleky
@deejay_jacko
@djscorpion
@djmike_beatz
#urithifestivalmwanza
#celebratingourheritage
#JembeTv
#Enzihizo
#TojagEkayA🔶
#TotayakA🔶
#ChigendEika🔶

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.