ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 9, 2018

WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA BANDA LA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, KangiLugola, akisikiliza jinsi Kikosi cha Usalama Barabarani kinavyo pambana na ajali kutoka kwa Koplo wa Jeshi la Polisi, Faustina Ndunguru, alipotembelea Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ,yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali Sajenti Wilberth Binamungu, jinsi wanavyotumia kifaa cha kupima ulevi kwa madereva, alipotembelea Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa, yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia), akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), walipotembelea Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ,yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar esSalaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania. Pichana Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.