ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 6, 2018

VIDEO: KANGI LUGOLA AMTIMUA MKUU WA MAGEREZA KWENYE KIKAO NA WAANDISHI WA HABARI.GSENGOtV
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amemfukuza kikaoni Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa ndani ya kikao chake akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua mbalimbali alizowachukulia maofisa wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji baada ya kuzembea katika kutekeleza majukumu yao. 

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu hatua mbalimbali alizowachukulia maofisa wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji baada ya kuzembea katika kutekeleza majukumu yao. 

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.