Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kushoto), akiongozana na Naibu Waziri Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wapili kulia), kutembelea eneo la Kaloleni zilipo nyumba za polisi,jijini Arusha.Kushoto ni mmoja wa wadau waliojitolea kujenga nyumba hizo,Hans Pol.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kushoto),akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng’anzi(kulia) baada ya kutoka kutembelea Kituo cha Polisi Utalii.Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi waliofika Kituo cha Polisi kupata huduma,Waziri Lugola yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na mdau wa maendeleo mjini Arusha,Hans Pol.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo.Waziri Lugola yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,Naibu Waziri
Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo
(kulia),wakisikiliza taarifa ya Kituo cha Polisi Utalii baada ya viongozi hao
kutembelea kituo hicho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.