Ilikuwa dakika, saa, siku, mwezi na sasa ni miaka 5 tangu Rafiki
yetu, Baba Yetu na Babu Yetu Ndugu JOHN S. SHILATU ututoke ghafla mnamo Julai
23, 2013.
Unakumbukwa na Mkeo, wanao,
wajukuu, ndugu, jamaa, marafiki zako na ukoo wa Shilatu na Makere ambao kamwe hawatakaa wausahau ucheshi,
upendo, na huruma zako kwa kila mtu.
Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi.
Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi.
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE! AMEN!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.