ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 6, 2018

ALICHOKISEMA NANDY KUELEKEA USIKU WA KUMSAKA MISS MWANZA 2018GSENGOtV
Nandy keshaibusu rasmi ardhi ya Jiji la Miamba na sato wa Rula Mwanza, ratiba inamtambua kuwa yu miongoni mwa wasanii watakao toa Burudani ya nguvu kwa Wakazi wa Mwanza usiku huu July 06, kumtafuta Miss Mwanza Rock City Mall, Hapa anazungumza mengi kuhusu Miss Mwanza, sanaa yake, bidhaa anazotaraji kuja nazo sokoni siku za hivi karibuni na Jeh anampango wa kuja na kivazi cha ndani sokoni?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.