GSENGOtV
KIGOMA. Taarifa zinasema idadi ya watu waliofariki dunia sasa imefikia 10.
Watu hao mefariki dunia hapo hapo na wengine 28 kujeruhiwa, baadhi yao wakivunjika viungo kufuatia ajali ya basi la Ramida kugonga treni ya mizigo katika kivuko cha Gungu mjini Kigoma leo asubuhi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.