GSENGOtV
Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli, na kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo
“Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa mapenzi yake kwetu Binadamu na hasa kwako rafiki yangu Sam “Mwana Wa Ukae, Mzukulu wa Mwali Bonele Wa Kiwangwa”.Tangulia Rafiki Yangu, Pumzika kwa Amani Sam Wa Ukweli.”
Kazi na Ngoma ya Jembe Fm imezungumza na mbunge huyo kujua
1. Habari za msiba alizipata kwa njia gani na akiwa wapi?
2. Alimfahamu vipi marehemu?
3. Jeh marehemu Sam wa Ukweli alikuwa na mchango wowote katika shughuli za maendeleo na siasa za Ridhiwani kwenye jimbo lake?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.