ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 13, 2018

NAIBU WAZIRI WA ARDHI ANGELINA MABULA AFIWA NA MUMEWE.

Mzee wetu, mzee Mabula mume wa Naibu Waziri wa Ardhi na Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye vilevile ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dr. Angeline Lubala Mabula, amefariki dunia leo mwendo wa saa 11:05 jioni akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando kwa matibabu. 


Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege @jembenijembe anatoa pole kwa familia, wana Ilemela ndugu jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huo.
.
Kupitia redio yako #JembeFm  tutaendelea kuwapatia taarifa zaidi kupitia vipindi vyetu mbalimbali ikiwa ni pamoja na taratibu za mazishi.
.
"Bwana ametoa, na bwana ametwaa, jina na la Bwana lihimidiwe " .

#SportsRipoti
#Mchakamchaka 
#Sega_la_leo 
#KAZINANGOMA 
#Hitzone 
#JembeHabari 
#DriveMix 
#Hotstage 
...........................................................................#RIP ..............................................................

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.