GSENGOtV
KILIO cha wananchi wa jiji la Mwanza juu ya ubovu wa barabara zake, hatimaye kimeigusa serikali kupitia wakala wa barabara za mijini na vijijini(TARURA) imesaini mkataba wa kuzifanyia matengenezo baadhi ya barabara zilizoko katikati ya jiji.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.