ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 20, 2018

MUME AMUUA MKEWE GESTI

·         
MWANAUME MMOJA AMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA KITU CHENYE NCHA KALI SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE KISHA NA YEYE MWENYEWE KUJICHOMA KISU TUMBONI NA KUFARIKI DUNIA WILAYANI SENGEREMA.

KATIKA hatua nyingine kamanda Msangi amezungumzia hatua zilizochukuliwa na Jeshi lake juu ya tuhuma za tukio la  Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mwamazengo wilayani Misungwi kufariki dunia ikidaiwa ni kutokana na kipigo kutoka kwa askari wa Kituo cha Polisi Misungwi.

Kamanda Msangi amesema kuwa askari anayetuhumiwa bado anashikiliwa kwa mahojiano.

Awali - Taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia Juni 9, zinaeleza kuwa Muuguzi aitwaye Edock alikamatwa usiku na askari waliokuwa doria wakati akirejea nyumbani baada ya majibizano na polisi, marehemu alipokea kipigo kilichomsababishia kifo.Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.