Ikicheza nyumbani kama timu wenyeji wa mashindano #Rusia imetupa karata yake ya kwanza michuano ya Kombe la dunia kwa kufanya mauaji kwa waarabu #SaudiArabia kwa kuwabamiza bao 5-0.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment