Mara baada ya Kamati ya kuthibitisha kuandama kwa mwezi iliyo chini ya Mufti wa Z'bar, kutangaza rasmi *kuonekana* kwa mwezi maeneo ya Fundo Pemba, Rufiji na Morogoro, na tamko kutolewa na *(Nadir M. Mahfoudh)* *(Mjumbe wa kamati)*
.
Uongozi wa Jembe Media Group haunabudi kusema *EID MUBARAK* kwenu ninyi nyote.
.
PAMOJA SANA
MPANGO WA KANZU UKIWA MWANZA MSIMU HUU WA EID UKO HIVI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.