ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 6, 2018

SHOW YA PAPII KOCHA NA NGUZA VIKING YAACHA HISTORIA MWANZA: PART ONE

Papii Kocha amedhihirisha kuwa yeye ni 'Mapafu ya Mbwa' kwani alipanda mwanzo wa show hadi mwisho ni zaidi ya saa mbili zenye makamuzi full mtakato huku mashabiki wakicheza mwanzo mwisho ndani ya show aliyoifanya ndani ya Villa park Resort Mwanza akiwa na babaye Nguza Viking. 
Kutoka kulia ni Nguza Viking (mwenye gitaa), Abby Solo, Papii Kocha na 'Msukuma Bandia' wakiligengesha ndani ya Villa Park Resort Mwanza.
Papii Kocha mbele ya mic.
Mashambulizi....chapa ilale.
Mziki full kiwango.
Wakishambulia kwa ma-sauti katika wimbo wa Fanta Wangu,  ni Papii Kocha na Abby Solo
Mwana wa Mfaume.
Sebene likikolea unaweza kuota mkia.
'Tumba boy'
Bass Guitalist 
"Parakata-tu mbwatu-mbwatu...."
Igweeeeeeeee,,,,,,,,,yooo-yo-yo
Love ya flowers za muji ya 'sato'
'Hapa hakuingia mtoto hakutoka mtu mzima'
Ni kama shabiki anasema "Si urudie tena"
Mkambwambwa.....
Style mpya 'Kiuno, Mabega na Kichwa'
Bendi wenyeji Super Kamanyola.
Jiografia.
PICHA ZAIDI ZAJA 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.