ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 22, 2018

MSOMI ANAPOHARIBU HUCHAFUA HADHI YA KIWANGO CHA ELIMU YAKE ASEMA MBUNGE WA KAHAMA


GSENGOtV

Hekima za Mbunge wa Kahama Dr. Jumanne Kishimba zamkuna Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, pale alipoamua kuainisha kasoro zilizopo Wizara ya Uvuvi akiambatanisha na zile za Wizara ya Mifugo.

Uzoefu, Ukongwe, na Busara vimetawala kinywa chake katika uwasilishaji na hapa anasema 'Msomi anapoharibu huchafua hadhi ya kiwango cha elimu yake' Jeh kwa maana hiyo baadhi ya mawaziri kwa kuvurunda kwao wamekosa sifa?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.