ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 22, 2018

MATOKEO YA AWALI YA KURA ZA MAONI BURUNDI.Upande unaotaka katiba ifanyiwe mabarekebisho nchini Burundi ambao pia unaoungwa mkono na Rais Nkurunziza, unaongoza katika matokeo ya awali ya kura hiyo ya maoni iliyopigwa Alhamisi 17.05.2018. Upande huo wa 'Ndio'unatarajiwa kushinda hali itakayomwezesha Nkurunziza kuwa madarakani kwa miaka mingine 16.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.