ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 22, 2018

VIDEO: JAMBAZI MMOJA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI HUKU MWENZAKE AKIFANIKIWA KUTOROKA BAADA YA KUPORA GARI WILAYANI SENGEREMA.GSENGOtV
Wananchi waliokuwa eneo la tukio walimkuta Ou Houjing ambaye ni raia wa China akihangaika huku na kule njiani kuelekea jijini Mwanza akitokea wilayani Sengerema akiomba msaada, baada ya jamaa huyo aliyeuawa akishirikiana na dereva wake kudaiwa kufanikisha mbinu ya kumuhadaa mfanyabiahsra Houjing na hatimaye kutoroka na gari ambalo hata hivyo baadaye lilinaswa na polisi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.