ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 1, 2018

MPENZI WA CRISTIANO RONALDO AANDIKA KWA KISWAHILI KWENYE POST YAKE.

Georgina Rodríguez ni mwanamitindo na ndio mpenzi wa sasa wa Ronaldo na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Alana Martina, hivyo katika insta story yake amepost picha yake na Ronaldo na kuandika ‘Hakuna Matata’

Licha ya msemo HAKUNA MATATA KUTUMIKA hata wenye baadhi ya filamu za Kiafrika hasa zenye utamaduni wa Afrika Mashariki kuanzia filamu za watoto hadi za kijamii.

Msemo wa hakuna matata ni msemo wa Kiswahili ambao umeonekana kupendwa na umekuwa msemo maarufu sana kwa wageni wanaopenda kujua lugha ya Kiswahili, na huo huwa ni msemo wao wa kwanza kujifunza lakini haijajulkana bado Georgina Rodríguez ameujulia wapi msemo huo.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.