ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 1, 2018

VIDEO:- ARSENAL YAIKAUSHA STOKE CITY 3-0 NAYO CHELSEA YAZAMISHWA DARAJANI NA TOTTENHAM


Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 75 kwa penalti na 86 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette kwa penalti pia dakika ya 89.

Tottenham vs Chelsea 3-1 Magoli yote kosakosa na mashambulizi 01/04/2018

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.