ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 19, 2018

LIVE - SHEREHE YA HARUSI YA ALIKIBA MOJA KWA MOJA KUTOKA MOMBASA KENYA


Historia imeandikwa leo kwa star wa muziki Tanzania, Alikiba kuchukua jiko kutoka mji wa Mombasa nchini Kenya. Ndoa tayari imefungwa leo Aprili 19, 2018 na kinachoendelea hivi sasa ni sherehe za ndoa hiyo. Tumeanza kwa kukuonesha jinsi mambo yalivyokuwa asubuhi wakati ndoa yenyewe ikifungishwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.