ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 19, 2018

TAMKO LA CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA LAIGONGA SERIKALI KATIKA HAYANi katika mkutano wa chama cha madereva wa serikali mkoani Mwanza uliofanyika jana Aprili 15, 2018 katika ukumbi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza ambao pamoja na mambo mengine ulilenga kujadili sakata la madereva wa vyeti feki pamoja na vyeti vya darasa la saba kuachishwa kazi. Said Yusuph Kapande ambaye ni Makamu Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania anatoa tamko mbele ya waandishi wa habari jujunu Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.