ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, April 20, 2018

BREAKING NEWS: MASOGANGE HATUNAYE


Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald Masogange amefariki dunia katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa kwamba ni upungufu mkubwa wa damu. Masogange mzaliwa wa Mbeya, ameacha mtoto mmoja, Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.