TAARIFA,
LEO SAA 5:00, KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI BILLY MWAKATAGE, ATATOA MAELEZO JUU YA TUKIO LA MOTO WA SOKO LA NGUO LILILOTOKEA JANA ALFAJIRI TAREHE 06/03/2018.
MAELEZO HAYO YATATOLEWA ENEO LA TUKIO MBAGALA. HIVYO BASI WANAHABARI WOTE MNAKARIBISHWA.
TAFADHALI UDHURIA BILA KUKOSA.
NAOMBA KUWASILISHA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.