KAMATI ya ulinzi na usalama wilayani 1Sengerema imefanikiwa kuteketeza shamba kubwa la bangi lenye ukubwa wa hekari 3 likiwa na miche zaidi ya elfu kumi baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria.
Bangi hiyo imefumwa katikati ya Msitu wa Hifadhi wa Maisome, kata ya Maisome Halmashauri ya Buchosa.
HABARI ZAIDI NA PICHA KUWAJIA HAPA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.