Tupe maoni yako
Tuesday, March 13, 2018
MAMBOSASA: NONDO ALIJITEKA, ALIENDA KWA MPENZI WAKE IRINGA.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema uchunguzi uliofanywa na Jeshi lake kwa kushirikiana na wenzao wa Iringa umebaini kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini TSNP, Abdul Nondo ambaye anatajwa kutekwa alijiteka mwenyewe na Iringa alienda kumtembelea mpenzi wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment