Jamii imeaswa kuzingatia usafi wa kinywa ili kuepuka magonjwa ya kinywa na meno ikiwemo meno kuoza, magonjwa ya fizi pamoja na kung’oka meno.
Wito huo umetolewa na daktari wa meno katika kituo cha afya cha nasa wilayani busega mkoani simiyu ABRAHAM NGUMUO wakati akitoa elimu kuhusu afya ya kinywa na meno kwa wanafunzi wa shule ya msingi mwabayanda kata ya lamadi wilayani humo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.