TAREHE 1 FEBRUARI 2018 imekuwa siku chungu sana kwa wana wa Afrika Mashariki, taarifa kutoka Hospitali ya CASE mjini Kampala nchini Uganda alikokuwa akipatiwa matibabu mwanamuziki Radio, imewanyong'onyesha wengi si vijana tu bali hata wadau wa makamu nao wamehuzunika katika hili.
Ungana na Natty E katika simulizi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.