Tupe maoni yako
Thursday, February 1, 2018
PICHA JINSI MWANZA ILIVYO ADHIMISHA SIKU YA SHERIA NCHINI.
Sherehe ya Siku ya Sheria Nchini imeadhimishwa leo katika Mahakama Kuu kanda ya Mwanza ikiwa ni maadhimisho ya 22 tangu kuanzishwa kwake, ikibeba maudhui ya "Matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa haki kwa wakati na kuzingatia maadili," Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment