Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akisalimiana na Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye aliyeketi (mbele) akisoma taarifa na changamoto zinazolikabili Jeshi hilo
Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao
Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema
leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Balozi wa Cuba hapa nchini,
Profesa Lucas Domingo Hernades akizungumza jambo wakati mazungumzo yao na Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (kushoto), Viongozi
Waandamizi wa Jeshi hilo hawapo pichani na Katibu wa Balozi na Mkalima, Sultan
Hamud Said (Kulia) Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es
Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya
kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiwa katika picha na Balozi wa Cuba
hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Jijini Dar es Salaam wengine ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji, Michael Shija wanne kutoka (kulia), Kamishna wa
Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage wa kwanza (kulia)
na Kamishna wa Usalama Dhidi ya Moto, Jesuald Ikonko wa tano kutoka (kulia).
Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya
mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiagana na Balozi wa Cuba hapa
nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mazungumzo yao mapema leo
asubuhi tarehe 01/02/2018. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na
Uokoaji)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.