ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 28, 2018

MAPENZI BINAFSI YA MA DJ NA WATANGAZAJI YAMEUPOTEZA UELEKEO WA MUZIKI NA LADHA YA TANZANIA 1


KATIKA sehemu hii ya pili ni swali kwake MAD ICE ni makosa gani yanayofanyika kiasi cha kuupotezea uelekeo muziki wa Tanzania ingawa wasanii wake wanaonekana wakifanya vyema kimataifa.

Akihojiwa na kipindi cha Hit Zone kinachoruka kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 7:00 mchana hadi 10:00 jioni kupitia redio Jembe Fm ya jijini Mwanza watangazaji wakiwa Babajuti na Natty E Brand, mwanamuziki huyo kamili katika muziki anayemudu kupiga vyombo vingi vya muziki amefunguka haya ndani ya masafa ya 93.7 Rock City.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.