ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 28, 2018

FULL HIGHLIGHTS: NDANDA FC 1-2 YANGA SC, (28/02/2018)Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara VPL) Yanga SC leo imevunja mwiko baada ya kushinda kwa mara ya kwanza dhidi ya Ndanda FC katika dimba la Nangwanda Sijaona, mjini Mtwara. Mabao ya Yanga yamefungwa na Pius Buswita dakika ya 6, Hassan Kessy Dakika ya 29 na bao pekee la Ndanda likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 46. Katika mchezo huo, mchezaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Ngassa ambaye kwa sasa anaitumikia Ndanda FC, aliibuka mchezaji bora na kupata zawadi ya viatu kutoka kwa mashabiki wa Ndanda.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.